Psalms 126:5-6


5 aWapandao kwa machozi
watavuna kwa nyimbo za shangwe.

6 Yeye azichukuaye mbegu zake
kwenda kupanda, huku akilia,
atarudi kwa nyimbo za shangwe,
akichukua miganda ya mavuno yake.
Copyright information for SwhKC